Hongera serikali kwa ujenzi wa reli ya Dar Moro na Moro Dom

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,091
1,404
Reli hii itasadia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa mji wa Dodoma na miji nyota inayoizunguka Dodoma kama Singida,Iringa,Kondoa nk. Wasafiri toma mikoani watafika Dodoma na hapo kupanda treni kwenda Dar au Moro. Idadi kubwa ya mabasi na malori toka mikoani yataishia Dodoma.Ni changamoto kwa CDA kujenga kituo kikubwa cha mabasi na sehemu ya kuegesha malori. Ni vyema maandalizi yakaanza mapema.
 
Back
Top Bottom