Hongera sana Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa huo ujasiri kuwa siasa si uadui

najaribu kufuatilia sana Sugu kwa siasa zake na matamshi ya hivi karibuni na kinachoendelea Mbeya ...........loading but hongera sana
Sidhani kama ana mawazo mbadala wa kuhama kambi.....
 
Natamani kuongea kitu, lakini mikono inatetemeka aseee


Anyway
Hongera zako Sugu

Kwa tunaokutambua umekuwa mtu wa kuanzisha vitu vya msingi

Uliuanzisha mziki wa kizazi kipya, mpaka leo ni ajira kwa maelufu ya vijana.

Leo umekuwa wa kwanza kuonesha undugu ndani ya siasa za ugomvi.

Ubarikiwe
 
sema tu kama anataka kuhama ......mikono inatetemeka kwa jambo gani......
 
Uhalisia wa hiyo picha ndio huo chini, na vyombo vya habari vikiripoti kwamba wanachama wa ccm ndio waliokimbilia kupata picha na Sugu.
Umeikata picha ili kuposha, akili za polepole hizi!View attachment 819864View attachment 819865

We Bwana Hivi sura zetu. Maisha yetu nk. Yanaakisi chama Au ujirani , undugu, ujana , ukoo nk Vijana msiipeleke Nchi kwenye ukabila uchama.nk. Hizo siasa zenu uchwara za fujo Acheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…