Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Tusimkatishe tamaa maana kathubutu, ni viongozi wachache sana walioenda kufanyia kaz maelekezo ya mh Rais... Binafs nampongeza sanaKwenye utekelezaji sasa!! Tusubiri,muda utsema.
Naye ni hazina ya CCM.Mtaka ni Mkuu wa Mkoa ambae kwa kweli kwa mtu mkweli atakiri ana karama za kiuongozi na professional kweli kweli.Hongera sana
Alianza kwenye Ukuu wa Wilaya Mvomero
Mkuu ben salama nipigie kesho tutete jambo sikupati hewanMtaka ni Mkuu wa Mkoa ambae kwa kweli kwa mtu mkweli atakiri ana karama za kiuongozi na professional kweli kweli.Hongera sana
Alianza kwenye Ukuu wa Wilaya Mvomero
kweli umeongea na ww nimekupata kaka nmemsikiliza sana nikamuelewa na yy nahisi alichukiza na yule aliyevaa kijani wakati anaongea nje ya mada mtaka almfuata kumuambia manenoMtaka ni Mkuu wa Mkoa ambae kwa kweli kwa mtu mkweli atakiri ana karama za kiuongozi na professional kweli kweli.Hongera sana
Alianza kwenye Ukuu wa Wilaya Mvomero
Ben uko sahihi kabisa kabisaMtaka ni Mkuu wa Mkoa ambae kwa kweli kwa mtu mkweli atakiri ana karama za kiuongozi na professional kweli kweli.Hongera sana
Alianza kwenye Ukuu wa Wilaya Mvomero
Kati ya mleta mada na walio comment mmoja ni kichaaKati ya wanne mliokoment mmoja ni KICHAA
Muda so mrefu tutasikia mengiMkuu ben salama nipigie kesho tutete jambo sikupati hewan
mkuu if possible tutajie mambo aliyo yafanya ili nasisi tujue juhudi zakeKwanza kabisa nikupe pole kwa kazi nzito ya kuwatumikia wana simiyu
Pili ni kukupa Hongera sana kwa kazi nzuri
Inayo Fanya katika mkoa wako Hongera sana mkuu katika wakuu was mikoa wasio na majivuno,zarau na maringo kazini wewe in moja wapo
Tatu wewe sio wa kupenda kamera mambo yako kimya kimya ila unafanya ya maana Hongera sana kwa yote
Nakutakia majukumu mema umeonyesha njia wengi wataiga kutoka kwako