Ingawa nimekuwa upande wa upinzani siku zote lakini kwa hili sina budi kumpongeza raisi Kikwete.
Tangia nianze kufuatilia siasa za huyu Mheshimiwa, kwa mara ya kwanza nashuhudia akitulia nchini kwa zaidi ya mwezi mmoja bila kusafiri nje.
Hongera raisi, naamini kwa utulivu huo utapata mda japo kidogo wa kujifunza baadhi ya matatizo sugu ya watanzania na kuyafanyia kazi..
Hongera sana
umevurugwaingawa nimekuwa upande wa upinzani siku zote lakini kwa hili sina budi kumpongeza raisi kikwete.
Tangia nianze kufuatilia siasa za huyu mheshimiwa, kwa mara ya kwanza nashuhudia akitulia nchini kwa zaidi ya mwezi mmoja bila kusafiri nje.
Hongera raisi, naamini kwa utulivu huo utapata mda japo kidogo wa kujifunza baadhi ya matatizo sugu ya watanzania na kuyafanyia kazi..
Hongera sana
Ingawa nimekuwa upande wa upinzani siku zote lakini kwa hili sina budi kumpongeza raisi Kikwete.
Tangia nianze kufuatilia siasa za huyu Mheshimiwa, kwa mara ya kwanza nashuhudia akitulia nchini kwa wiki tatu bila kusafiri nje.

Mkuu naona unatafuta matusi ya wazee wa buku 7.Ingawa nimekuwa upande wa upinzani siku zote lakini kwa hili sina budi kumpongeza raisi Kikwete.