Hongera Rais Magufuli, ujenzi wa barabara za juu Ubungo kuanza rasmi

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,903
2,580
Tulikuchagua kuwa rais tukijua bayana kwamba muda wa maneno sasa umekwisha.

Wahenga walionya kuwa maneno matupu hayavunji mfupa.

Kitendo cha kuanza ujenzi wa barabara za juu pale ubungo ni ishara kwamba mawakala wa shetani wanahujumu juhudi za serikali ya awamu ya Tano wameshindwa na kulegea !!

Serikali ya awamu ya Tano Endeleeni kusonga mbele, mamilioni ya watanzania wanawaunga mkono.

Tulikuchagua kuwa rais tukijua bayana kwamba muda wa maneno sasa umekwisha.
Wahenga walionya kuwa maneno matupu hayavunji mfupa.

Kitendo cha kuanza ujenzi wa barabara za juu pale ubungo ni ishara kwamba mawakala wa shetani wanahujumu juhudi za serikali ya awamu ya Tano wameshindwa na kulegea !!

Serikali ya awamu ya Tano Endeleeni kusonga mbele, mamilioni ya watanzania ukiacha wale wauza madawa ya kulevya wa ufipa wanawaunga mkono.
Yaaap
 
Huyu ndiye rais anayeongoza kwa maneno bila vitendo haijapata kutokea, ni maneno tuuu utasema kahudhuria msiba wa mtani

images
 
Tulikuchagua kuwa rais tukijua bayana kwamba muda wa maneno sasa umekwisha.
Wahenga walionya kuwa maneno matupu hayavunji mfupa.

Kitendo cha kuanza ujenzi wa barabara za juu pale ubungo ni ishara kwamba mawakala wa shetani wanahujumu juhudi za serikali ya awamu ya Tano wameshindwa na kulegea !!

Serikali ya awamu ya Tano Endeleeni kusonga mbele, mamilioni ya watanzania ukiacha wale wauza madawa ya kulevya wa ufipa wanawaunga mkono.
yah ni kweli kiongozi tupo pamoja kuiunga mkono serikali yetu kwa kweli
 
Samahani hivi ukitaka kujiunga lb7c unatakiwa kuwa na sifa zipi? Je akili,hekima,busara,ufahamu unamwachia nani?
 
Siwezi shangaa baada ya kuzijua akili za makondakta nimeshazijua akili za uvccm wote, maana huyo ndo kichwa kwao
 
Kujenga barabara ni wajibu wa serikali, kuisifia ni kuifanya ifanye wajibu wake kama mtaji wa kura kila uchaguzi. Ndio maana miundombinu inajengwa kwa taratibu sana ili iendelee kua mtaji kisiasa. Tangu tupate uhuru kiongozi akiomba kura ni ahadi zile zile maji, barabara na afya. Zaidi ya miaka 50 ya uhuru? Tunahitaji mawazo mapana zaidi ili kila Mtanzania ajivunie utanzania wake.
 
Tulikuchagua kuwa rais tukijua bayana kwamba muda wa maneno sasa umekwisha.Hongera meya wa jiji,meya wa manispaa ya ubungo na madiwani wote wa UKAWA mliahidi kuboresha miundo mbinu ya DSM na Leo mnatekeleza.Maccm yalikuwa yanakula pesa tu hapo! Sasa tumeanza kuona mabadiliko kupitia UKAWA.
Wahenga walionya kuwa maneno matupu hayavunji mfupa.

Kitendo cha kuanza ujenzi wa barabara za juu pale ubungo ni ishara kwamba mawakala wa shetani wanahujumu juhudi za serikali ya awamu ya Tano wameshindwa na kulegea !!

Serikali ya awamu ya Tano Endeleeni kusonga mbele, mamilioni ya watanzania ukiacha wale wauza madawa ya kulevya wa ufipa wanawaunga mkono.
 
Mwasita moja haupo sawa kuhusianisha wauza madawa na ufipa-sio haki kabisa. Maana hiyo nyumba ulipanga wewe mpangaji mpya kaiharibu sa ngapi.
 
Back
Top Bottom