Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Ile ilikua promotion tu Mzee usiamini kila unachokiona ile line saa hizi ipo kwenye dustbin ikulu ndogo chato

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo unafanya watanzania tuonekane tu IQ ndogo, mtu anaongelea finger print wewe anaongelea line ya simu si ujinga huo!! Issue hapo ni fingerprint, akitupa line, na vidole navyo kwenye system vinajitupa???
 
Safi sana wajanja wa town kwa kuwaonesha hawa washamba ya kuwa hakuna usalama wa 100β„….
Iko hivi duniani muogope Mungu,wazazi wako na teknolojia.
Mwenye line iliyosajiliwa naitaka hata buku tano nitanunua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nalog off
 
Nimekusoma
 
Mimi wala sipotezi muda na huo ujinga wao wa fingerprints. Kama wanafungia laini wacha wafungie tu. Ni zoezi la kijinga.
 
Vipi mimi niliyesajili laini yangu kwa Ofisi za makampuni ??


Happy dude
‍
 
Watu wanaandika tu bila kufanya research... Fanyeni research kwanza... Hayo mnayoyawaza sasa yalishafikiriwa hata kabla huu mfumo haujaanza kufanya kazi... Kuna taratibu za kufuata ili upate laini ya pili within the same network.
Hakuna taratibu zozote ndugu. Mimi nilienda Vodashop moja kusajili namba zangu mbili za Voda Wala sikuulizwa kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…