Hongera rafiki angu

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,402
Reaction score
88,872
Bby leo umemletea kijana wangu mke wa maisha yake. I'm so happy for you my love. Mmoja kati ya viongozi wa JF leo ameongeza mtoto wa kike kwenye familia yake. Hongereni sana mmasai wangu na shemeji yangu wa kichaga.
 
Mbn humaliziii jmn ......wataje kwa majinaa
nikiwataja watanijua mi nani hata ambao walikua hawanijui. Ila one of the directors wa JF kapata kijike leo. Nafurahi sana sababu mwanae atakua mke wa mtoto wangu
 
Kwani yule njomba ni director wa JF? Eeh bwanaaaaa....
 
Mmasai? mpe hongera zake mmasai mwenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…