TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,250 Reaction score 2,036 Nov 1, 2018 #1 Napenda kuwapongeza ninyi watajwa hapo juu kwa mchango wenu mliotoa leo kwenye kongamano, nimesikitika kutokuwepo Zzk. Ma prof sijawaelewa kabisa sijui kwavile elimu yao kubwa sana? Mlio karibu nao wafikishieni ujumbe huu.
Napenda kuwapongeza ninyi watajwa hapo juu kwa mchango wenu mliotoa leo kwenye kongamano, nimesikitika kutokuwepo Zzk. Ma prof sijawaelewa kabisa sijui kwavile elimu yao kubwa sana? Mlio karibu nao wafikishieni ujumbe huu.