Hapa walipofika ni pazuri ila watu wanaiogopa kuhamisha pesa nyingi kuna watu walihamisha na hela haikufika mpaka leo, ukiuliza nmb wanasema imeshapokelewa voda, na voda wanasema hawajapokea, tabu sana, pia ukihamisha inachukua mda mrefu kufika kuanzia 30minutes to 2hour, hivyo warekebishe usumbufu haufai