Hongera Nape kwa kuwasikiliza wana UDSM

Hongera Nape kwa kuwasikiliza wana UDSM

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,569
Reaction score
16,018
Kijana Nape ni mwenye hekima ya juu sana. Yaani majibu aliyowapatia vijana pale UDSM ni ya kuheshimiwa na yenye busara sana.
 
yaan umekosa la kuandika ukaona usifie ili angalau nawe uwemo??omgera sana umeonekana,endelea sana wenda ukafikiliwa kwenye nafas za uwazir zilizosalia
 
Kijana Nape ni mwenye hekima ya juu sana. Yaani majibu aliyowapatia vijana pale UDSM ni ya kuheshimiwa na yenye busara sana.
Hongera kwa lipi haswa? hizi Hongera zisizo na Mipango siku akinywa Maji utampa hongera pia waacheni watu wafanye kazi ni wajibu wao.... na kama hawawezi hakuna wa kuwalea Uongozi ni Wito...

Kwanza Hao Wasomi wamekalia akili zao ati kila kitu serikali inachotaka kukifanya iwashirikishe wasomi wakati hao Wasomi ndio hao Walioifikisha hii nchi hapa tulipo Ovyo sana imefika kipindi kufuata na kuiga nchi zilizofanikiwa wametumia njia gani ndio tufuate kama Mfano kw aKagame Magufuli naamini kaufuata kwa kuwasainisha mawaziri...

Katika Nchi yetu kila kitu kipo kwenye vitabu maandishi kama Sera n.k na zingine unachanganya na zako ni kufuata tu kama barabara kilichokuwa kinatusumbua ni usimamizi na kutofuatwa kwa sheria na rushwa kila idara na pia hakukuwa na wa kumnyooshea mwenzie kidole
 
kiukweli katumia busara nzuri mpaka wanafunzi kutulia
 
Nape mnamchukulia tofaut, yale yalikua maneno ya campaign tu,actually alkua hampend lowasa
 
Wasomi udsm hawapo sikuhizi,wasomi wenye fikra za geuzaulole.Utakuwa umetumwa kuuza jina lake tu.
 
Back
Top Bottom