goodluck tesha
Member
- Mar 1, 2012
- 29
- 10
Hebu nisaidieni, hivi waziri mkuu anaweza kuchukua hatua gani za kinidhamu dhidi ya waziri yeyote? Maana wote ni wateule wa Rais, na bila shaka Rais ndiye mwenye mamlaka ya kumwondosha waziri. Wasiwasi wangu; adhabu tunayotaka kumpa Pinda pengine si yake.
Nina mashaka na wabunge wa ccm kwani wamelivaa vazi la woga na hilo limeshuhudiwa ktk masuala mbalimbali.
Sasa kama wabunge wa magamba ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanaccm basi,waungane na upinzani kuiwajibisha serikali.
Mungu uwabariki wabunge wa chadema na uwape nguvu baadhi ya wabunge wa ccm;WALIO WAZALENDO
Hivi Lowasa alijiuzuru au alistaafu. wataalam wa kiswahili watujulishe maana kuna mkanganyiko hapo. inawezekana kabisa naye anapokea mafao yote ya uPM mstaafu baada ya kutumikia nchi kifisadi kwa miaka miwili tu kama PM.Mh.Lowasa kama ikishindikana either mawaziri wenye kashfa kujiuzuru au waziri mkuu kujiuzuru basi wewe na akina Karamagi lalamikeni kuwa mlionewa. Mbona wengine wanalindwa ninyi mlitupiliwa mbali?
Hivi Lowasa alijiuzuru au alistaafu. wataalam wa kiswahili watujulishe maana kuna mkanganyiko hapo. inawezekana kabisa naye anapokea mafao yote ya uPM mstaafu baada ya kutumikia nchi kifisadi kwa miaka miwili tu kama PM.