huku ni tegeta mkuu na tyta ndo kwaoo
Tyta unauza nini hapo?
Mkuu nimepita dukani nkamkuta shemeji, umepiga hatua sio kama mwaka jana. Ila lipia kodi ya Bango
1. Sukari,mayai,baiskeli2. kanga,pilau,walikuku
3. sambusa,tairi za trekta
4. madaftari na bia aina zote
5. petroli,matunda,nazi
6. vitumbua,mitumba grade one
7. supu ya utumbo,mabati,vocha
8. mtego wa panya,pembejeo
9. makabati ya nguo,kompyuta
10. juisi na mbogamboga
11. mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12. leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNIEE!!!!!!!
super-hard
Hahahaaa..hii itakua Tyta complex1. Sukari,mayai,baiskeli2. kanga,pilau,walikuku
3. sambusa,tairi za trekta
4. madaftari na bia aina zote
5. petroli,matunda,nazi
6. vitumbua,mitumba grade one
7. supu ya utumbo,mabati,vocha
8. mtego wa panya,pembejeo
9. makabati ya nguo,kompyuta
10. juisi na mbogamboga
11. mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12. leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNIEE!!!!!!!
Ushafika?
1. Sukari,mayai,baiskeli2. kanga,pilau,walikuku
3. sambusa,tairi za trekta
4. madaftari na bia aina zote
5. petroli,matunda,nazi
6. vitumbua,mitumba grade one
7. supu ya utumbo,mabati,vocha
8. mtego wa panya,pembejeo
9. makabati ya nguo,kompyuta
10. juisi na mbogamboga
11. mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12. leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNIEE!!!!!!!
super-hard