Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,689
Vibaraka wa CCM mna kazi kweli. We ndio umeingia shifti ya usiku mnene? Day najua mnalipwa sh. ngapi; Je night ni sh ngapi?
Lukuvi hakushinda kihalali Ismani alimnunua huyo Dr wako. Utaona 2015 ataikimbuka nafasi yake ya ukuu wa mkoa lakini hataipata tena maana hakutakuwa na wakuu wa mikoa.
Kinyanambo, sina uhakika kama una sympathy na watanzania,aidha umehamisha ushabiki wako kwa timu chelsea na liverpool hapa jukwaani. Nashidwa kujilazimisha kuamini kwamba unaakili timam Kama ulienda shule, bado haijakusaidia, haihitaja hata kuwa darasa la saba kuona kuwa maisha ya watanzania vijijin sasa ni ombaomba,chama kilichotawala zaidi ya miaka 34 bado kinajiimarisha,raisi wa nchi anaomba misaada wakati anafaham kuna orodha ndefu ya makada wake wa chama wameiba fedha nyingi na kuficha kwenye mabenki nje ya nchi,nchi maskini yenye mali nyingi,yenye mito,ardhi safi ya kilimo,madini,maziwa na bahari. CCM hadi sasa is just a protective and survival vehicle of the totally failed government that no more can democratise its rule,that can now use its iron hand to make sure it continues exploit (not rule)....a living dead party. Only one option remains to the mass.....to approot it and all its leaders altogether.
lukuvi ni mbunge wa Ismani kwa miaka 20 lakn ameshindwa kupeleka maji na umeme isman?
Kwani wewe pale mtaa wa Ufipa Kinondoni wanakulipa bei gani?mimi sipo kwa kulipwa..mimi nakupa utekelezaji wa sera za Chama cha Mapinduzi katika jimbo la IringaTsh 7000/= per post............mkuu unapost ngapi kwa ili wiki?....watoto hawalali njaa uongo mbaya mkuu...pale Lumumba ndio kama mama ba baba zenu ya mataka taka yaliomo ndani mle?
Lukuvi ni jembe na wao wanajua
Mods, please futeni lugha chafu humu
Nitafuata nyayo zake Iringa mjinimkuu huyu jamaa hawathubutu hata kukanyagA JIMBONI MWAKE...MANA HAWANA CHA KUSEMA...KULE ILANI IMETEKELEZWA KWA 100%
Msigwa kaharibu Iringa...hakuna alichofanya,bora hata na Mama Mbega...karibu mkuu karibu mnyalukolo..wangufyeeeNitafuata nyayo zake Iringa mjini
Na nitaanza kutekeleza ahadi za msigwa kwanza kabla sijatoa zangu
Asante mkuuMsigwa kaharibu Iringa...hakuna alichofanya,bora hata na Mama Mbega...karibu mkuu karibu mnyalukolo..wangufyeee
Tena mkuu ni mikutano isiyo na tija kaka....wala hajuna maendeleo,yeye ni kutoa Quotation za kwenye biblia,sisi tunataka maendeleo kama ya Wenzetu wa ISIMAN...NJOO KAKA NJOO TUKUPE JIMBO,MCHUNGAJAI MSIGWA ARUDI KANISANI...TUMEMCHOKAAsante mkuu
Tumechoka kuona Iringa mjini inatumika kama sehemu ya majaribio kwa kuwapa uongozi watu ambao wanaona sifa kufanya vurugu na kupiga kelele bungeni kama watoto wadogo badala ya kutetea maslahi ya wananchi.
Kwanza anawachosha wanyalu na mikutano yake isiyokwisha
Kweli mkuu,Tena mkuu ni mikutano isiyo na tija kaka....wala hajuna maendeleo,yeye ni kutoa Quotation za kwenye biblia,sisi tunataka maendeleo kama ya Wenzetu wa ISIMAN...NJOO KAKA NJOO TUKUPE JIMBO,MCHUNGAJAI MSIGWA ARUDI KANISANI...TUMEMCHOKA
Hahahah!unamsifia hata huyu mama aliyeondoka na samani za ofisini baada ya kukosa ubunge?ama kweli wewe ni Ngaliba Dume kabisaMsigwa kaharibu Iringa...hakuna alichofanya,bora hata na Mama Mbega...karibu mkuu karibu mnyalukolo..wangufyeee
Nitafuata nyayo zake Iringa mjini
Na nitaanza kutekeleza ahadi za msigwa kwanza kabla sijatoa zangu