Hongera Mh. January Makamba


Acheni kelele suala ni kila mtoto apande mti moja autunze na ajivunie mti wake, anaweza kupanda kwao, maeneo ya wazi au kadiri atakavyoelekezwa baada ya inventory kufanyika
 
Shule ya msingi bunge watapanda kwenye viwanja vya ikulu na maeneo ya barabara ya lami
 
Shule ya msingi bunge watapanda kwenye viwanja vya ikulu na maeneo ya barabara ya lami
 
Very good initiative, tena ni rahisi sana kufanya implementation, hakuna gharama hapo, yaani huyu waziri ameleta ubunifu wa hali ya juu katika kutunza mazingira,
nampa credit, he deserve it.
Napendekeza hili zoezi lifanyike nchi nzima kwa shule zote halafu tuone impact yake after 10yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…