Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Mbowe, watu wa Arusha washajielewa kuwa wanataka mabadiliko kwa hiyo usihangaike nao tena achana na kanda ya kati wao ni wachache sana.
Hamishia nguvu kanda ya usukumani, achana na Kagera hawajitambui hao, Mara achana nao watakuchanganya then ni wachache sana.
Simika nguvu zako mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga na Simiyu. Ukiikamata hii sehemu unakuwa umemaliza kila kitu. Hawa watu ni wengi sana na wana umoja wakiamua CHADEMA ni CHADEMA na wakiamua CCM ni CCM. Komaa na hawa father nina uhakika 2020 tutashika dola ukifanya hivyo.
Matokeo mabaya ya uchaguzi mdogo yasikufanye ufe moyo, komaa kamanda wangu barikiwa sana katika bwana.