Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kwa hakika leo nimeona mchezo ninaoutaka. Timu kana utopolo wacheza mieleka ukicheza nao soft na marefa wetu walivyo, wanaweza kukuabisha sana. Ila leo nimeona physique, nimefurahi sana. Zile kelele za wazee leo sijazisikia.

Acha wabebe kikombe hicho wawe na faraja kidogo. Sisi kazi ni moja, klabu bingwa Afrika.

Simba nguvu moja
 
Penalty unashangilia kiasi hiki?
Bado wala sisi haitustui,ushindi wa matuta haunogi!
# Simba nguvumoja
Ivi kuna shabiki wa Nyau fc asie amini kuwa kagongwa?
Acheni wenge, wananchi sio watu wazuri nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…