Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,969
2,000
Kwa hakika leo nimeona mchezo ninaoutaka. Timu kana utopolo wacheza mieleka ukicheza nao soft na marefa wetu walivyo, wanaweza kukuabisha sana. Ila leo nimeona physique, nimefurahi sana. Zile kelele za wazee leo sijazisikia.

Acha wabebe kikombe hicho wawe na faraja kidogo. Sisi kazi ni moja, klabu bingwa Afrika.

Simba nguvu moja
 

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,975
2,000
Unataka statistics zipi?Si umeshachukua kikombe kwa penalty?
Kwa nini unataka kuishi kwa statistics kama unavyoishi bara?bingwa wa kihistoria?
.
 

Attachments

  • Screenshot_20210113-230334_Instagram.jpg
    File size
    512.4 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom