Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

Simba imepata million 18 yanga million 15 TIMU GANI IMEVUNA ZAID YA MWENZIE
Kuna shabiki yeyote wa Simba anayefudahia Simba kuvuna ela nyingi zaidi ya Yanga? Mashabiki wote wa Simba wanahuzuni ya kushindwa kumfunga Yanga. Mkitaka hata hilo.kombe Yanga anawaachia lakini mmefungwa kwa penati baada ya Sarpong kushindwa kumaliza gemu ndani ya dakika 90 kwa huruma zake kama qnacheza na wakwe zake. Lasivyo goli tatu zilikuwa zinawahusu
 
Back
Top Bottom