kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,636
- 7,005
Kwa hakika leo nimeona mchezo ninaoutaka. Timu kana utopolo wacheza mieleka ukicheza nao soft na marefa wetu walivyo, wanaweza kukuabisha sana. Ila leo nimeona physique, nimefurahi sana. Zile kelele za wazee leo sijazisikia.
Acha wabebe kikombe hicho wawe na faraja kidogo. Sisi kazi ni moja, klabu bingwa Afrika.
Simba nguvu moja
Acha wabebe kikombe hicho wawe na faraja kidogo. Sisi kazi ni moja, klabu bingwa Afrika.
Simba nguvu moja