malobosato
Member
- Sep 30, 2013
- 61
- 4
Wana JF,leo naingia jukwaani kumsifu Magufuri kama mbunge wa Chato.Aliyefika Chato kipindi Chato iko chini ya jimbo la Biramulo na akawa amefanikiwa kwenda tena Chato,atayaona mabadiliko makubwa yalipatika chini ya uongozi wake Pombe John.Kabla,lami ulikuwa ni msamiati kwa mtu wa chato,umeme ilikuwa sawa na ndoto za mchana,chato kilikuwa kisiwa cha nchi kavu,leo mawasiliano bwelele,huduma na mambo mengi ya msingi ameyasimamia.HONGERA MBUNGE WANGU.