Hongera Magufuli, Usafi wa kila Mwisho wa Mwezi, unefanikisha kwa asilimia 100

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
16,855
31,165
Kwa kweli kwenye hili la usafi wa kila mwezi umefanikiwa kwa kiasi kikubwa sio kwa wafanyakazi wa serikali tu hadi kwa wananchi wa kawaida.
Kati ya yote ya kiuchumi,kisiasa,na kijamiii hili la kijamii la usafi umefanikiwa sana,yaliyobaki mengine yote yatahitaji muujiza.
 
Kwa hio jiji ni safi?
Pita tu hapo kinondoni studio utakuta furushi la taka na limekaa hapo zaidi ya wiki moja.

Hapo ni njiani hujaingia huko mdani mitaani ambapo serikali za mitaa wamelala na wananchi wanahangaika kutafuta mlo wa siku moja
 
Wewe acha uongo studio hapa pa safi sana hakuna hizo taka unazosema
 
Kwa kweli kwenye hili la usafi wa kila mwezi umefanikiwa kwa kiasi kikubwa sio kwa wafanyakazi wa serikali tu hadi kwa wananchi wa kawaida.
Kati ya yote ya kiuchumi,kisiasa,na kijamiii hili la kijamii la usafi umefanikiwa sana,yaliyobaki mengine yote yatahitaji muujiza.
Mkuu unataka watu waseme tu, ngoja nikae nisikilize
 
Hakika huku Usukusi amewafanikisha kidogo japo si sana bado wanaishi na uchafu.
 
Wewe acha uongo studio hapa pa safi sana hakuna hizo taka unazosema
Wewe jamaa ndio muongo.
Mimi nimesimama hapa na kuna plastic dust bin imejaa na pembeni kuna fuko la taka.
Wewe uko marekani unaongelea mambo ya dsm
 
Kwa kweli kwenye hili la usafi wa kila mwezi umefanikiwa kwa kiasi kikubwa sio kwa wafanyakazi wa serikali tu hadi kwa wananchi wa kawaida.
Kati ya yote ya kiuchumi,kisiasa,na kijamiii hili la kijamii la usafi umefanikiwa sana,yaliyobaki mengine yote yatahitaji muujiza.
Kumbuka maeneo mengi biashara zinafungwa hadi saa 4.00 asubuhi. Fikiria wafanyabiashara na serikali wanapoteza mapato kiasi gani. Naona katika eneo hili anahitaji kuboresha. Wananchi watakiwe kufanya usafi katika maeneo yao. Maofisa afya wafanye ukaguzi kwani hii ni moja ya kazi zako.
Kufunga shughuli za biashara kwa Massa 4 si sahihi hata kidogo.
 
Mengine itabaki historia tu, kauli mbiu yeye anatumikia watu maskini na wanyonge, hutakiwi kuwa na maisha bora sio hizi yetu maana tutakuwa against falsafa yao
 
De6RqAKX0AAo4Td.jpg

Hii ni siku ambayo siwezi kuisahau kwenye utawala wa awamu ya tano kwenye maisha yangu

Huwa kuna swali najiuliza sana kichwani kuhusu siku hii lakini majibu yanakuja zaidi mia moja.

Nakumbuka ilikuwa siku kuadhimisha siku ya Uhuru wa Tanganyika 9 December ya mwaka 2015

Taarifa hii ili trend sana katika vyomba mbalimbali vya habari Africa na nje ya Africa

Mungu akubariki Rais kwa uamuzi mgumu katika siku hiyo ya Uhuru wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom