black and white
Senior Member
- Apr 25, 2013
- 102
- 26
Hunajua sikuzote huwezi panda mti katika ardhı iliyojaa mchwa nilazima utokomeze hao mchwa kwanza alafu upande mtı.
Nataka kusema Mweshimiwa Lema anachokifanya nı sahıhı kabısa hacha hawakandamize hawa mchwa kwanza walıyozoheya kula kodi zetu.ndugu hakuna kıtu unaweza kufanya CCM wakakıacha watakıtafuna tu ili wasije honekana wao ni wabovu.watanzanıa lazıma tuwe wavumılivu hadi kupata mabadiliko wabunge wetu wa CHADEMA wanapata kazi kubwa hasa kupambana na hawa magamba sasa hukıona mbunge anapambana na magamba usıje kudhanı ahadi kazisahau hapana, ili nchi na wananchı wake wapate kile wanacho kıtaka basi hujuwe nilazima hawa magamba wawe nnje ya ikulu vingine nikutwangıya majı kwenye kınu.
asante.