Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,776
- 2,389
Mfumo kristo ha ha ha ha ha.
Mfumo kristo ha ha ha ha ha.
Nakufagilia Bw Mnyika maana hata Neno limekaa moyoni.
Mfumo kristo ha ha ha ha ha.
Asante kwa observation mkuu.Hilo jengo mbona lina giza hivyo Limejengwa kwa kutumia ujenzi wa gothic archtechture unaotumika maeneo ya ulaya yenye baridi kali na kunakoweka madirisha madogo kuhifadhi joto ndani.
Tatizo la ujenzi hapo ni kwanza hamna hewa ya kutosha na madirisha ni madogo ukilinganisha na idadi ya watu inalobidi iwameze.mwanga wa kutoka nje ni mdogo ni bili za taa za tanesco kwenda mbele.Kwa kulitizama tu ramani hizo ni zile za ku-paste and copy za ulaya ambazo mjenzi hazingatii hali ya hewa ya jengo lilipo.Humo ndani kama hakuna umeme kila muumini itapidi aende na kitambaa cha kufuta jasho hasa kama feni hazifanyi kazi na kutakuwa na giza sana.Anyway something is better than nothing hongereni.
Mfumo kristo ha ha ha ha ha.
Mfumo kristo ha ha ha ha ha.
Mkuu haya majengo ya ibada utapata thawabu ukichangia.Mfumo kristo ha ha ha ha ha.
Ruzuku za serikali zinajenga hayo mahekalu yenu! We ngoja apatikane kiongozi mkorofi! Mtapiga haleluyah mpaka asubuhi lkn hampewi kitu.
Ruzuku za serikali zinajenga hayo mahekalu yenu! We ngoja apatikane kiongozi mkorofi! Mtapiga haleluyah mpaka asubuhi lkn hampewi kitu.
Mungu akusamehe mana hujui usemalo
Naona shetwain anakutafuta, kujiokoa juhudi yako.Mungu unaemuongelea hapa yupi?
Ni yule mnaesema alipigwa mpaka akalia halafu akauawa! Au kuna mwingine!
Manake huyo aliye uwawa hakuweza kujionea huruma mwenyewe! Ataweza kunionea huruma mimi?
Naona shetwain anakutafuta, kujiokoa juhudi yako.