Hongera kamati kuu ya CCM


Kikao cha umbeya tu hamna jipya hapo ni yale yale, nani wa kufunga paka kengere ikiwa wote ni mafisadi!
 


kuhoji kwa style hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nawauliza maccmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
 

Attachments

  • 1461117_566007296801505_1535122407_n.jpg
    42.3 KB · Views: 43
Inakuhji nini sasa...wakati kazi yako tayari imesha kuhoji na kazi huwezi....sasa nataka serikali ikurudishe darasani....au ndiyo wanataka wapelekwe tena Semina elekezi Arusha.
 
Yale yale!!! Tofauti na wenzako, wewe umepongeza halafu ukatoa mapendekezo yanayoashiria kuwa unaikosoakamati ku na hususani mbwekaji NAPE. Kwa kuumia sikolji rahisi tu ni kwamba wewe unaonekana uwa mmoja wa wachezaji kwenye hi timu mbovu iliyotajwa. Usjifanye unataka kulinda maslahi ya serikali ndugu yangu. Serikali ipi mkuu? Kupambana na utendaji mbovu ndo kulinda maslahi kwenyewe labda kama una tafsiri binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…