Hongera ITV kwa huduma ya Breaking News kwenye simu za mkononi

Iduguye

Member
Jan 19, 2014
5
0
Nimeona matangazo yao jana wakisema wataanza kutumia watu ujumbe kwenye simu za mkononi kila wakati breaking News zinapo tokea. Nionavyo mimi huduma hii kwao ni kama ilichelewa ukilinganisha na uwezo wao wa kutoa habari zinazoaminika na watu wengi zaidi Tanzania na hata nje ya nchi.
Source; itv habari
6a6f7a11b5ccebb07a2bd145286b67d8.jpg
 

Attachments

  • 1460475484318.jpg
    1460475484318.jpg
    13.2 KB · Views: 34
Hicho kiasi cha pesa ni kikubwa mno, kwa mtanzania anae ishi kwa kipato cha chini, other wise umetumwa wewe.
 
Hicho kiasi cha pesa ni kikubwa mno, kwa mtanzania anae ishi kwa kipato cha chini, other wise umetumwa wewe.
Wakati mwingine tuwe tuna think logic hiyo sera ya mtanzania anae ishi kwa kipato cha chini imekuwa kama wimbo sasa, kila kitu mtanzania wa kipato cha chini ,

unatakiwa kujua hilo swala ni hiyari sio lazima ukitaka unajiunga na usipo taka kama huna uwezo unaacha, mbona huduma zingine mnalipia? Msiwasemee watu hasa kwa mambo ambayo kila mtu ana hiyari nayo huo utakiwa ni unafiki ,tukisema tutumie kigezo cha mtanzania wa kipato cha chini basi na vocha za simu,mafuta, maji,umeme ,chakula,na zana mbalimbali za kazi na maendeleo nazo tuseme hivyo hivyo.

Kuna mambo ambayo ni ya muhimu na ya lazima lakini yapo kwa gharama kubwa lakini bado kunawanao afford na wanao shindwa na hata kikiwa kwa gharama ya chini kabisa bado wapo watao shindwa pia .

Hivyo hao ITV Naona wako sawa tu hasa kwa gharama hizo za mwezi sababu hata wangeweka 1000/= bado hao wakipato cha chini watakuwepo tu.
 
Back
Top Bottom