Hongera Iddi Ligongo na Mary Mgawe

Hongera Iddi Ligongo na Mary Mgawe

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari zenu wanajamvi?

Kati ya watu ambao nilihisi wameachana kabisa na tasnia ya habari hapa Tanzania ni pamoja na Iddi Ligongo kama mtamkumbuka ni yule alianza katika uigizaji miaka ile ya mwanzoni mwa 2000 pamoja na marehemu kanumba katika kundi lao la mchezo wa fukuto, ambapo baadae akajiunga na Radio 1 / ITV, mara akapotea.

Lakini pia Mwanadada Mary Mgawe ambae alikuaga Radio 1 enzi hizo na kina Sunday Shomay, marehemu Julius Nyaisangah, Aboubakary Sadik n.k. Nae hyu dada gafla akapotea.

Jana nlikua naskiliza updates za Nkurunzinza nkasikia anaerusha matangazo kutoka IDHAA YA KISWAHILI YA SAUTI YA AMERIKA...

Daah! Nilishangaa lakini nkafarijika sana kuwasikia wamejisogeza kielimu mpaka hapo walipofikia.

Mungu awabariki..
 
Iddi Ligongo,hivi alikuwa anatumia jina gani la kisanii vilee....?
 
Iddi Ligongo si ndio alitaka kujiua kisa penzi la Nora (kwenye maisha halisia)
 
Iddi Ligongo si ndio alitaka kujiua kisa penzi la Nora (kwenye maisha halisia)

ww mbeya duuu..mpaka leo unakumbuka🙏

mungu wa ajabu sana nina uhakika Idd akimuangalia sasa hv Nora atakuwa anajiuliza mara nusu hv ni kweli nilitaka kujiua sababu ya huyu kweli..🙉🙉
 
ww mbeya duuu..mpaka leo unakumbuka🙏

mungu wa ajabu sana nina uhakika Idd akimuangalia sasa hv Nora atakuwa anajiuliza mara nusu hv ni kweli nilitaka kujiua sababu ya huyu kweli..🙉🙉

ah ah ah!story mbovu uwa hazitoki kwenye memory kirahis mkuu,ni kama kovu vile kwenye mwili
sasa hvi anaweza akajiona ni jins gani alikuwa mwehu,ila kupenda kitu kibaya sana aisee....
 
Huyu Iddy Ligongo alitakaga kujiua kwa ajili ya penzi la Nora enzi hizo. Saizi Nora nadhani akipewa hata kwa maji ya kunywa sidhani kama atamkubali. Hongera kwake.
 
hongera kwake....IDD yupo huko Washington tangu mda mrefu tu.
mara nyingi hutangaza michezo kwenye hiyo radio station...... kweli amepiga hatua kubwa.
 
Hongera za kwakweli,
Namkumbuka Iddy Ligongo enzi zile za michezo ya maigizo MAISHA
kila jmosina baadae kuingia ITV
 
Kaanza kupiga mzigo hapo VoA bila shaka mwaka jana 2014...
 
Back
Top Bottom