Kocha huyu kaifikisha Zanzibar heroes fainali ya challenge.kila LA heri waweze kubeba kombe
olekamaru Member Jun 23, 2017 76 125 Dec 15, 2017 #1 Kocha huyu kaifikisha Zanzibar heroes fainali ya challenge.kila LA heri waweze kubeba kombe
J julius milla JF-Expert Member Sep 8, 2017 633 500 Dec 15, 2017 #2 Vijana wanaelewa wanachokifanya.huku Tzbara ni Siasa tu kila mahali.Haki ya mungu siasa haitaicha Tzbara salama.Hongereni ZNZ fanyeni yakwenu achaneni na huu ujinga wa wa BARA.
Vijana wanaelewa wanachokifanya.huku Tzbara ni Siasa tu kila mahali.Haki ya mungu siasa haitaicha Tzbara salama.Hongereni ZNZ fanyeni yakwenu achaneni na huu ujinga wa wa BARA.
simplemind JF-Expert Member Apr 10, 2009 14,942 2,000 Dec 15, 2017 #3 Taratibu ya wanzanzibari kukuza soka ya watoto hatimaye inazaa matunda. Hongera Zanzibar. Zanzibar shall not die.
Taratibu ya wanzanzibari kukuza soka ya watoto hatimaye inazaa matunda. Hongera Zanzibar. Zanzibar shall not die.
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 15,381 2,000 Dec 15, 2017 #5 Sio huyu mduwanzi wa alwayz next time.
samua JF-Expert Member Jul 18, 2016 1,005 2,000 Dec 15, 2017 #6 makaveli10 said: Sio huyu mduwanzi wa alwayz next time. Click to expand... Hahaha hahaha hahaha
mzungu wa roho JF-Expert Member Oct 21, 2017 210 250 Dec 15, 2017 #7 hongereni sana wazenji.......tz bara endeleeni na mauzauza yenu
Nas Mapesa JF-Expert Member Jul 31, 2014 4,158 2,000 Dec 16, 2017 #8 Mr English wetu kaja na mfumo wa diamond karanga
Turnkey JF-Expert Member Jul 9, 2013 6,966 2,000 Dec 16, 2017 #9 Bonanza...uganda bila ya Okwi..Tanzania bara bila ya Samatta