Sorry wanajukwaa niko Namtumbo ndanindani huku sielewi mambo yanayotokea mjini, niliambiwa na rafiki yangu ambaye yuko daslam kwamba tar 8 Nov (jana) msanii wetu maarufu aliyeimba kitorondo atatunukiwa shahada ya uzamivu kwenye mahafali ya chuo kikuu cha dar es salaam, naomba mniwekee picha za dr wetu akiwa na joho tafadhali