Agano Jipya
Member
- Jun 12, 2016
- 5
- 6
Kwa kweli nimevutiwa sana na hili la Diamond kuwa mzalendo kwa kuchangia elimu kwa kutoa mchango wake wa madawati 600.
Tunashangaa kwanini wabunge wetu wanaakataa kulipa kodi ili ifanye mabo ya maendeleo kwa wananchi wao.
Tunashangaa kwanini wabunge wetu wanaakataa kulipa kodi ili ifanye mabo ya maendeleo kwa wananchi wao.