Hongera CRDB kwa ubunifu wa leo

Hongera CRDB kwa ubunifu wa leo

Bila kuchelewa nimependa sana style wanayotumia benki kongwe nchini ya CRDB ya kuwapima wateja kila anayeingia kupata huduma.

Leo nimeenda kwenye tawi moja katika ya mji wa Dar es salaam nikaona jinsi gani wanavyoguswa na maisha ya wateja wao kwa kuwapima Covid-19. Ingependeza kama sekta zote binafsi na za umma zingeiga mfano huo.

Pamoja tujikinge na Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatua lakini ndogo sana
 
Mwenyewe umefurahi baada ya kupimwa joto ukadhani ndo wamekupima kovidi

Au modds mnasemaje?
 
Bila kuchelewa nimependa sana style wanayotumia benki kongwe nchini ya CRDB ya kuwapima wateja kila anayeingia kupata huduma.

Leo nimeenda kwenye tawi moja katika ya mji wa Dar es salaam nikaona jinsi gani wanavyoguswa na maisha ya wateja wao kwa kuwapima Covid-19. Ingependeza kama sekta zote binafsi na za umma zingeiga mfano huo.

Pamoja tujikinge na Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikitaka kwenda benki nakula panadol homa ipungue natinga ndani..vp hapo?
 
Back
Top Bottom