Ngwakwiii
JF-Expert Member
- Dec 6, 2019
- 434
- 543
Bila kuchelewa nimependa sana style wanayotumia benki kongwe nchini ya CRDB ya kuwapima wateja kila anayeingia kupata huduma.
Leo nimeenda kwenye tawi moja katika ya mji wa Dar es salaam nikaona jinsi gani wanavyoguswa na maisha ya wateja wao kwa kuwapima Covid-19. Ingependeza kama sekta zote binafsi na za umma zingeiga mfano huo.
Pamoja tujikinge na Corona
Sent using Jamii Forums mobile app