Hongera CHADEMA, Tumekubali mmeshinda! Timizeni AHADI zenu!

Hivi mbona kidedea mmeshayatimiza ya Nzega hata kimoja?

Mwanza bado wanasubiri Meli walizoahidiwa, unakumbuka? kwahiyo kaa kimya furahiya hiyo ofisi
 
Fanyeni utafiti siyo kila kitu mnataka kutafuniwa!!

sio kila kitu utafiti kama unaweza kujibu jibu.... kwa kutaja tu nafasi nne manake anajua hali ilivyo

inawezekana hata wewe hujui kazi kujifanya unajua

kabbaff
 
Chama Cha Mapinduzi, kimeyapokea matokeo ya kura zilizopigwa na kutangazwa na tume ya Taifa ya uchaguzi kwa chaguzi ndogo zote, ule wa Arumeru Mashariki na zile za kata nane zilizofanyika jana nchini kwenye maeneo husika.

Kwa heshima nachukua nafasi hii kuwapongeza kwa dhati watani zetu, CHADEMA kwa ushindi walioupata Arumeru Mashariki na kwenye kata tatu(Kirumba, Kiwira na Lizabon). Lakini pia nawapongeza CUF kwa kushinda ile kata ya Tanga. Katika kata nane zilizokuwa zikifanya uchaguzi CCM tumeshinda kata nne. Tunawashukuru wananchi kule walikoendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kata hizo nne. TUNAWAAHIDI KUWATUMIKIENI KWA MOYO WOTE.

Matokeo ya kura hizi kwa ujumla yameonyesha sauti ya wapiga kura kwenye maeneo husika, ndo maana tunaheshimu maamuzi yao. Tunatoa wito kwa vyama vilivyoshinda kwenye maeneo hayo kuhakikisha vinatumia muda na dhamana waliyopewa kutekeleza yale waliyowaahidi wapiga kura wao.

CCM tutatumia matokeo haya kufanya tathimini ya kina na kuangalia wapi tuliteleza ili tufanye marekebisho kuhakikisha makosa hayarudiwi tena. Kimsingi uchaguzi huu umeisha na tufunge mjadala wa uchaguzi tujikite katika kuwaletea maendeleo wale waliotuchagua.

Nawatakieni kila lakheri wote mliochaguliwa, nawatakieni utumishi uliotukakuka!
huo ndiyo uungwana buana!!
 
Over the years, CCM has been creating seeds of its own destruction....

This is the moment of truth.
 
Je ahadi zenu za 2010 ipi mmeianza? au hata kuonyesha nia? ok CHADEMA leo tarehe 3/4/2012 wanaanza kujenga visima katika kijiji cha MARORONI huku Arumeru. Upo hapo? hatuna shaka na chama chetu.
 
Nape vipi daraja aliloahidi magufuli kule Igunga la kujengwa ndani ya siku 90, limekamilika? Kafumu amepotelea wapi huko Igunga walidanganywa na ubwabwa wakamchagua, we unasemea ahadi za wenzio zenu za Igunga ishageuka ndoto
 
Nape wewe ni mtu muungwana na kijana wa maana bado. Nakushauri ujiunge CHADEMA kulinda heshima yako. Ni uamuzi mzito lakinni utaheshimika hata bila cheo chochote. Utabakia wa kuheshimiwa kwani CCM imeonekana kukosa uwezo wa kukemea maovu. Imebakia na kuendeleza maovu na kutumia nguvu kulazimisha mambo. Siku hizi mtu hakuulizi wewe ni chama gani. Moja kwa moja anaanza kuilaumu CCM na serikali. Kila mara najiuliza hizo kura wanazopata CCM wanapigiwa na nani?
 
Chama Cha Mapinduzi, kimeyapokea matokeo ya kura zilizopigwa na kutangazwa na tume ya Taifa ya uchaguzi kwa chaguzi ndogo zote, ule wa Arumeru Mashariki na zile za kata nane zilizofanyika jana nchini kwenye maeneo husika.

Kwa heshima nachukua nafasi hii kuwapongeza kwa dhati watani zetu, CHADEMA kwa ushindi walioupata Arumeru Mashariki na kwenye kata tatu(Kirumba, Kiwira na Lizabon). Lakini pia nawapongeza CUF kwa kushinda ile kata ya Tanga. Katika kata nane zilizokuwa zikifanya uchaguzi CCM tumeshinda kata nne. Tunawashukuru wananchi kule walikoendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kata hizo nne. TUNAWAAHIDI KUWATUMIKIENI KWA MOYO WOTE.

Matokeo ya kura hizi kwa ujumla yameonyesha sauti ya wapiga kura kwenye maeneo husika, ndo maana tunaheshimu maamuzi yao. Tunatoa wito kwa vyama vilivyoshinda kwenye maeneo hayo kuhakikisha vinatumia muda na dhamana waliyopewa kutekeleza yale waliyowaahidi wapiga kura wao.

CCM tutatumia matokeo haya kufanya tathimini ya kina na kuangalia wapi tuliteleza ili tufanye marekebisho kuhakikisha makosa hayarudiwi tena. Kimsingi uchaguzi huu umeisha na tufunge mjadala wa uchaguzi tujikite katika kuwaletea maendeleo wale waliotuchagua.

Nawatakieni kila lakheri wote mliochaguliwa, nawatakieni utumishi uliotukakuka!

tekelezeni nyinnyi sijui meli, kiwanja cha ndege bukoba, lami mpaka uani.. Ila magamba mtang'oka tuu 2015. mwenyekiti alituuza wananchi kwa ahadi za trillioni 95 halafu katekeleza moja kulipa posho na mapochopocho kwa viongoz na ccm.

Badala ya kuwaambia wenzako watimize tuambie ahadi zenu mtatimiza au tuwang'oe sasa baada ya uchaguzi mdogo wa uraisi?
 
Nape vipi daraja aliloahidi magufuli kule Igunga la kujengwa ndani ya siku 90, limekamilika? Kafumu amepotelea wapi huko Igunga walidanganywa na ubwabwa wakamchagua, we unasemea ahadi za wenzio zenu za Igunga ishageuka ndoto

Ile Rushwa kaka! Mary Nagu nae aliahidi mambo makubwa Arumeru.
 
hujafurahi CHADEMA kushinda
umefurahi LOWASSA kushindwa......

i know you are happy leo.....

Ukweli ndio huo na yeye amechangia kwa kiasi kikubwa kuhujumu chama chake kwasababu ya uhasama wake na Lowassa!!
 
Back
Top Bottom