yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
peoples..................
katika kudhirisha ukomavu wa chama makini kama chadema lazima haya yafuatayo yazingatiwe.....
1: kuwa tayari wakati wowote kufanya maamuzi magumu yenye masilahi ya chama na wanachama kwa ujumla.
2; kuipigania haki bila kujali nani kasema nini, katika mazingira gani, kwa masilahi ya nani.
3:kujitoa kwa kila hali, moyo wote, akili zote, nia na dhamira bila kujali litamuumza nani,wapi,lini na kwanini....
4;lazima ziwepo itikadi zinazopingana/ kutofautiana, changamoto, na mawazo yanayo kinzana.
"ili kuleta demokrasia ya kweli, migogoro, mawazo kinzani lazima yawepo ili kuibua maendeleo ya kweli" karl max......