Hongera CHADEMA Rombo!

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Pongezi kwa Chama cha demokrasia na maendeleo katika jimbo la Rombo kwa kumpitisha Selasini aliyekuwa mbunge kwa miaka mitano na hakuna alichokifanya Rombo mbali na kuwataka wananchi wa Rombo kuuwa tembo wanaokuja kula mazao, kushiriki maandamano Arusha, kutokushiri kikamilifu bungeni katika kuishauri na kuisimamia serikali. Kazi ya kumwangusha katika uchaguzi mkuu itakuwa ndogo sana. Anatembea kwenye lami iliyopiganiwa na wabunge waliomtangulia wa CCM, anatumia maji yaliyopiganiwa na wabunge waliotanguliwa wa CCM, Selasini hata mradi wa umeme wa REA ameshindwa kuupigania umalizike kwenye jimbo lake.

Selasini hana tofauti na mbunge mwingine wa CDM aliyekuwepo Rombo ndugu Salakana maana hata yeye hakufanya lolote Rombo ndipo baadae akatimkia CCM na baada ya kuangushwa na Mramba Rombo ilipata lami iliyokuwa ikipiganiwa miaka mingi. Ni wazi kabisa wabunge wa upinzani wakipata nafasi Rombo hawawatei wananchi bali huzitumia kwa maslahi yao.

BACK CCM ROMBO 2015.
 
Mramba yupo Gerezani kwa sasa kama umeweza kumsifia hivyo je umejisikiaje kwa Mbunge ambaye unaona ameleta mafanikio hapo Rombo lakini amekutwa na kashfa ya kuliingizia taifa hasara ya maBillion ya Shillingi? Kikwete alitoa ahadi kubwa wakati wa kampeni zake zisizopungua 73 lakini ametekeleza zisizozidi 25 na muda wake ndio umeisha, naomba nikuulize kama Rais alitoa ahadi hizo na ametekeleza chini ya 40% je huyo Mbunge ambaye anategemea serikali inayoongozwa na Rais huyo ili jimbo lake litekelezewe Miradi mbalimbali ya maendeleo je itatekelezeka?
 
Ni mtetezi wetu,tumepania kuidelete kabisa CCM
 
Mramba yupo Gerezani kwa sasa kama umeweza kumsifia hivyo je umejisikiaje kwa Mbunge ambaye unaona ameleta mafanikio hapo Rombo lakini amekutwa na kashfa ya kuliingizia taifa
hasara ya maBillion ya Shillingi? Kikwete alitoa ahadi kubwa wakati wa kampeni zake zisizopungua 73 lakini ametekeleza zisizozidi 25 na muda wake ndio umeisha, naomba nikuulize kama Rais alitoa ahadi hizo na ametekeleza chini ya 40% je huyo Mbunge ambaye anategemea serikali inayoongozwa na Rais huyo ili jimbo lake litekelezewe Miradi mbalimbali ya maendeleo je itatekelezeka?
Sidhani kama atakuwa ameelewa mkuu!!!nna wasiwasi!
 
pongezi kwa chama cha demokrasia na maendeleo katika jimbo la rombo kwa kumpitisha selasini aliyekuwa mbunge kwa miaka mitano na hakuna alichokifanya rombo mbali na kuwataka wananchi wa rombo kuuwa tembo wanaokuja kula mazao, kushiriki maandamano arusha, kutokushiri kikamilifu bungeni katika kuishauri na kuisimamia serikali. Kazi ya kumwangusha katika uchaguzi mkuu itakuwa ndogo sana. Anatembea kwenye lami iliyopiganiwa na wabunge waliomtangulia wa ccm, anatumia maji yaliyopiganiwa na wabunge waliotanguliwa wa ccm, selasini hata mradi wa umeme wa rea ameshindwa kuupigania umalizike kwenye jimbo lake.

Selasini hana tofauti na mbunge mwingine wa cdm aliyekuwepo rombo ndugu salakana maana hata yeye hakufanya lolote rombo ndipo baadae akatimkia ccm na baada ya kuangushwa na mramba rombo ilipata lami iliyokuwa ikipiganiwa miaka mingi. Ni wazi kabisa wabunge wa upinzani wakipata nafasi rombo hawawatei wananchi bali huzitumia kwa maslahi yao.

Back ccm rombo 2015.

ulevi ni nouma, nadhani hang over zikiisha utaandika kitu kizuri zaidi.
 
Mramba yupo Gerezani kwa sasa kama umeweza kumsifia hivyo je umejisikiaje kwa Mbunge ambaye unaona ameleta mafanikio hapo Rombo lakini amekutwa na kashfa ya kuliingizia taifa hasara ya maBillion ya Shillingi? Kikwete alitoa ahadi kubwa wakati wa kampeni zake zisizopungua 73 lakini ametekeleza zisizozidi 25 na muda wake ndio umeisha, naomba nikuulize kama Rais alitoa ahadi hizo na ametekeleza chini ya 40% je huyo Mbunge ambaye anategemea serikali inayoongozwa na Rais huyo ili jimbo lake litekelezewe Miradi mbalimbali ya maendeleo je itatekelezeka?

Mramba alikata rufaa. Ahadi isipokumbushiwa na kufuatiliwa, inasahaulika. Wanahitajika watu mahiri wa kuunganisha serikali na wananchi ili ahadi hizo zitekelezwe
 
alivowasambaratisha ccm kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji pamoja na siasa uchwara toka kwa mkuu wa wilaya dhidi ya warombo sijui kama mtaweza kupambana nae,in short ndo mmepotea mazima
 
kumbe kazi ya mbunge kwa jimbo lake ni kusambaratisha chama alichokishinda! Na wale wa ccm nao wafanye vivyo hivyo! Kumbe tunachagua wabunge wa kusambaratishana! Poor you!
 
Warombo warudi misri badala ya kukaza mwendo ili wafike kanani?unashangaza.magamba hayana nafasi rombo.
 
Mwezenu ametoa hoja nyie mnajibu madudu, kama kuna alichokifanya toeni takwimu ili mbishane nae kwa hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom