Ulimjibuje?Yaani kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni.. juzijuzi nilipatwa na msiba sasa nkalazimika kusafiri kwenda kuzika,sasa kwakua ilikua ni mkoa ambao babu na bibi wanaishi ikanibidi niende kuwasalimia,yaani nlishangazwa bibi yangu akaniuliza hivi Humphrey Polepole mbona simsikii?
unajua nlishikwa na butwaa kwa maana bibi yangu wala sio msomi lakini ni mfanya shughuli zake tu yaani nkasema kweli vijana wa dotcom wameteka tanzania mjini mpaka vijijini.
Hongera polepole
Yaani kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni.. Juzijuzi nilipatwa na msiba sasa nkalazimika kusafiri kwenda kuzika, sasa kwakua ilikua ni mkoa ambao babu na bibi wanaishi ikanibidi niende kuwasalimia, yaani nlishangazwa bibi yangu akaniuliza hivi Humphrey Polepole mbona simsikii?
Unajua nlishikwa na butwaa kwa maana bibi yangu wala sio msomi lakini ni mfanya shughuli zake tu yaani nkasema kweli vijana wa dotcom wameteka tanzania mjini mpaka vijijini.
Hongera polepole
Humphrey polepole ni nani???
Tuache unafiki polepole ni kijana mzuri sana
Humphrey polepole ni nani???
Baba yako mdogo
Kwani mpaka umfahamu mtu
lazima uwe umesoma??
Tena manzania mwenzako
unamjua wewe na bibi yako tu!