Leo hii naomba nitoe hongera za dhati kwa bunge la Muungano.Natoa hongera hizi kutokana na mambo mawili makubwa.
Jambo la kwanza ni kitendo hasa cha wabunge wa upinzani kukumbusha kuwa hapakuwa na Kamishna wa tume ya kukabiliana na madawa ya kulevya.
Serikali imekiri na imetekeleza na pia imefanya ijulikane kuwa Waziri mkuu ndiye hasa msimamizi wa vita hii na kwa mantiki hiyo ina maana vita ilianzishwa bila mhusika mkuu kujua.
Jambo la pili ni hili la kumuita Mkuu wa Mkoa mbele ya Bunge.Hata kama itatokea figisufigisu na asifike lakini tayari LUKU imeshafungwa.
Watanzania tuna hamu ya maendeleo na mabadiliko lakini tunataka mabadiliko ya ki mfumo na sio one man show kiasi ambacho akiondoka mtu na jambo linakufa,tumeshatoka huko.Tulimuona Mrema na U polisi/uafisa usalama kila mahali lakini impact yake iko wapi?
Kwa mama Tulia ujumbe ni mdogo tu,busara ni kubwa kuliko Phd ya sheria.
Asubuhi njema wanajamvi wote.