Hongera Asma Gharib Bilal

Hongera yangu nimeitoa hadharani kila mtu afahamu kama tuzo yake ilivyowekwa hadharani kwa matangazo mbalimbali ili kila mtu ajue.
........... Ukisikia hasidi mwenye hasada ni wewe jeshi la mtu mmoja ! Mwenyezi Mungu atamuepusha na shari yako !
 
Huyo Asma Gharib Bilal ana uhusiano gani na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal?
 
Kuna ka-smell au haki yake kupata hiyo scholarship wakaachwa watoto wa walala puu?
 
Mkuu
Majina haya unalazimisha au umefanya utafiti na kugundua ni mtoto wa makamo wa mkulu?
 
Aliyeleta thread hii kwa kutumia jina la binti makamu wa rais anajikomba. Hamna jipya zaidi ya jamaa kujipigia upatu. Kama anataka pesa au uroda wa huyo binti si amwendee personally badala ya kuja na upuuzi. Hakuna upuuzi nauchukia kama watoto wa wakubwa kwenda kusoma nje hata kama ni vilaza kwa gharama ya watoto wa walalahoi. Stop this nonsense even if you have access to JF.
 

Hongera Asma Bilal Gharib aka Asma Gharib Bilal kwa kuitumia bahati yako ya kuzaliwa aka "kismet cha jina kubwa" ipasavyo. Watu kama nyie ni haki zenu tokea mkiwa tumboni mwa mama zenu kuchukua hatamu za uongozi wa Jamhuri. How about that, mpayukaji? Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…