NAWAPA pongezi askari wetu wale wawili waliojitoa kwa mioyo yao na uvumilivu mkubwa wa kwa jua na mvua.
Hawa askari muda wote wako imara na wakakamavu.
1.Mmoja yupo kasimama pale posta(bismin)
2.Na mwengine yupo pale Moshi mjini round abaut ya KCMC.
HONGERA SANA
Tuwekee picha mkuu tuwatambue wazalendo wetu
Anaongelea ile misanamu ya askari, bila shaka aliwashika kidogo