Nilimdharau sana na kumpuuza kabisa aliposema kuwa Mungu aje amshukuru Magufuli
Magufuli anawezaje kujishukuru mwenyewe?Mungu wake ni Magufuli
BujibujiNilimdharau sana na kumpuuza kabisa aliposema kuwa Mungu aje amshukuru Magufuli
Bujibuji
Huyo jamaa hata kama ni kumtetemekea Jiwe, ila pale alipitiliza na kufanya kufuru!
Na ndiyo laana hiyo iliyokuwa ikimtafuna, hadi leo kafikia mahali pa kutumbuliwa!
Mpuuzi kabisa alianza kukengeuka acha apumzike uwezo umepoteaNilimdharau sana na kumpuuza kabisa aliposema kuwa Mungu aje amshukuru Magufuli
CCM viongozi wao wengi wanastahili kuwa Mirembe.Nilimdharau sana na kumpuuza kabisa aliposema kuwa Mungu aje amshukuru Magufuli
Kwa roho na moyo wa dhati nampongeza waziri huyu wa zamani wa TAMISEMI na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora.
nimewahi kumshuhudia akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha(Kwa sasa ndio jiji la Arusha)
aliacha alama ya miti mingi ya kivuli inayoifanya Arusha ya leo kuwa green na yenye kivuli.
Nimesikia amefanya haya Tabora...Mungu amlipe mema.
Pia namtambua kama mentor muhimu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi kijana mchapa kazi Jaffo...nyendo za kusimamia ujenzi bora wa majengo ya Serikali haswa shule na vituo vya afya ziliwekewa milestone na Aggrey Mwanri...hili alilionesha tena akiwa Tabora..kwa kuwaweka kati mainjinia na wakandarasi...he built a culture ya usimamizi he also managed to greenfy Tanzania.
Pia aliweza kujenga hospitali ya mfano pale SIHA
Mungu amuongoze kwa hatua anayoelekea.
Hata Arusha alipokuwa DC alipanda miti haswa na kuhuisha mandhari ya Jiji hilo.Akipita kwenye ubunge nashauri ateuliwe kuwa waziri wa mazingira.Alipambana sana kuifanya Tabora kuwa ya kijani kwa kupanda miti na kuitunza,tofauti na wakuu wa mikoa wengine ambao huonekana siku ya upandaji miti kitaifa baada ya hapo hawaonekani tena!
Mungu yupi huyo? Mungu mliokua mkimdhihaki na kumkebehi wazi wazi bila hofu kipindi Magufuli anahimiza watu kuomba sababu ya CoronaNilimdharau sana na kumpuuza kabisa aliposema kuwa Mungu aje amshukuru Magufuli
Waambie haoMungu yupi huyo? Mungu mliokua mkimdhihaki na kumkebehi wazi wazi bila hofu kipindi Magufuli anahimiza watu kuomba sababu ya Corona
Hakuna kipindi wapinzani walimkashifu Mungu kama kipindi kile na ghadhabu ya Mungu itawaka juu yenu milele.
Kigogo keshapata mshahara wake