mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Ripoti ya CAG imeainisha kuwa katika vyama vya siasa 22 vyenye usajili wa kudumu, ni chama kimoja tu cha siasa kilichopeleka hesabu katika kipindi cha miezi 6.
Sote tunafahamu kuwa ni ACT wazalendo pekee walioweka hesabu zao wazi, na wakawa wanasubiri uthibitisho wa CAG. Hiki ni chama kinachoonesha kuwa kinasimamia nidhamu na uadilifu, na kinaonesha uwazi kuanzia chamani na huenda mpaka ikiwezekana serikalini.
Kuna vyama havijawahi kuonesha utofauti na CCM, ukiuliza wafuasi wake watakujibu " Mbona CCM nayo inafanya hivyo"
Mwenye akili atanielewa ni nini namaanisha.
Heko ACT wazalendo, mmeonesha mfano