kibiashara
Member
- Feb 4, 2013
- 75
- 13
Rangi ya dhahabu metallic, 2.4cc 4 cylinder ivtec engine, imetengenezwa 2003, ipo Tanzania kwa miaka 3 sasa, iliingia toka Singapore, imetembea 130,000km, inakaa watu 7 comfortably seated, automatic na manual gear, cruise control, viti vya leather, sun roof, original sports reams, HID headlumps, maximum speed 220, very beautiful car with lots of extras. Bei 10.5M. Mwenye kuitaka ani-PM au apige 0713602800. Napatikana Posta mpya, Dar es Salaam. picha zake ndo kama hizo