kibiashara
Member
- Feb 4, 2013
- 75
- 13
Dah, gari safi sana ... ngoja wadau waje ....
kwa mtizamo wangu ukubwa wa injini na hiyo bei nadhani kwa wenzangu na mm itakuwa ngumu!!!!no hiyo bei ni kubwa mno
Nice great car! very beautiful. Ningekuwa na hela ningekutafuta aisee. jinsi ilivyo, value for money. najua ningekushusha kidogo
Penye bei tu hapo, dah!
spea zake sasa,mpaka uende Naii
spea zake sasa,mpaka uende Naii
Ni ya 2003 X-Singapore. Ina 2.4CC, 4 cylinder, leather seats, corner sensors, cruise control, speed 220km/h maximum, imetunzwa vizuri sana, imetembea 120,000km, 7 - seater nzuri sana kama gari ya familia. Bei 18M. Imelipiwa kodi zote. Mwenye nia anipm au sms 0713 602 800 au 0784 602 800.
Mi na Noah VoXY 2003...Namba yake ni CFW.....Naiuza 14ML.....Ntafutie Mteja Kamanda wangu
Kaka ningepata hiyo hela ningemalizia kale kakibanda kangu pale Msakuzi Mbezi..ila kupanga ni kuchagua tu!!
Nami nilikuwa nafikiria, yes ni nzuri but how about after sales services? Spears, durability kwenye rough roads?
this is a very strong car ndugu yangu ila usisahau haikutenegenezwa kuwa off roader. kama unatakiw akupita sehemu na landcruiser basi usitegemee kuitumia hii, kama ambavyo huwezi zitegemea noah, spacio nk. ila kama unapita mashimoni mara chache au short distance kisha unaingia lamini basi hii gari itakufaa sana, na utaipenda sana.
ni kweli ni gari zuri sana. naamini atakayelinunua atafurahia sana uamuzi wake. ni luxurious na reliable family car.
Asante mkuu. Nahitaji off roader kwani kila siku nina 10km za rough road. Kila heri