honda cc90 inauzwa

honda cc90 inauzwa

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
153
Reaction score
20
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki saba na nusu. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186
 
Nadhani ni zile auto kama ni yenyewe nitumie picha kwa whatsapp 0718138382
 
mimi nimeitumia kwa mwaka mmoja na nusu, picha nimeshindwa kuweka hapa ila kama una whatsapp nipm namba nikutumie, wa songea pia rukhsa kuiona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom