Uchaguzi 2020 Hon.Tundu Antiphas Mungh'wai Lissu for Tanzania 2020

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Tumechoka kudhalilishwa,vijembe na dhihaka,LISSU anatufaa Tanzania na ndio mkombozi wa kweli,zanziba FATUMA KARUME AU MAALIM SEIF chagueni.

Hii ni taarifa rasmi na endelevu.Kama ccm wanataka kuendeleo kuwepo kwenye uso wa dunia hawana budi kumkubali Lissu.

Haijatokea lisasi 38 kwa mara moja zikamuacha mtu salama ila tu yule MTEULE wa Mungu pekee.

Hon.Tundu Antiphas Mungh'wai LISSU for Tz 2020.
 
Jipe moyo mkuu kwanza mbowe atoke pili lowasa wake aondolewe mambo yatakuwa muswano vinginevyo bado mtaendelea kuswagwa tuu. Wanasiasa in wanafiki sana
 
Kwanza,Chadema watamteua kuwa mgombea?
 
Mmechoka kula ruzuku pia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…