Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
| Salutation | Honourable |
| First Name: | Freeman |
| Middle Name: | Aikaeli |
| Last Name: | Mbowe |
| Constituent: | Hai |
| Political Party: | CHADEMA |
| Office Location: | P.O. Box 3070, Moshi |
| Office Phone: | |
| Ext.: | |
| Office Fax: | |
| Office E-mail: | fmbowe@parliament.go.tz |
| Member Status: | Current Member |
| Date of Birth | |
| Secondary School |
| Company Name | |
|---|---|
| Bank of Tanzania | Bank Officer |
mod wamelala au? Kwani lakin hii nayo ni post
Da, huyu jamaa SIFURI kabisa...
mod wamelala au? Kwani lakin hii nayo ni post
Kwa hili namtetea,
Mbowe ana akili sana kuliko ma professors na mdokta kibao, ndio maana anawaongoza na wanamwogopa sana
Elimu sio nguvu au kipaji cha uongozi. Tatizo la Mbowe ni akili ndogo ambayo ina uzoefu wa kuongoza kumbi za disko tu na anafanya makosa kutumia uzoefu wake wa disko kwenye siasa

pole sana, yaani elimu ni kuingia madarasani? Shame on you..Kumbe bwana makengeza sifuri na kubebwa bebwa na baba mkwe wake,kumbe mzee mtei akimchomeka BOT na sasa amezoea kuleta umangi wake hadi chadema duh, kwa elimu hii ndio maana sijawahi kumsikia mbowe akiongea english au academic swahili, yeye anaongea kama ka dj flani, no wonder wasomi kina zito na kitila walimuona hafai