"Homosexuality is not sinful"

My question,
Inamaana huyo imaam ndie anawahubiria waislam 'kuridhia' homosexul? (Mola apishie mbali), nadhani hayo ni madhaifu yake binafsi kama kiumbe na dhambi ni ZAKE.
Huyu imaam ni laana-tu-llah.
 
My question,
Inamaana huyo imaam ndie anawahubiria waislam 'kuridhia' homosexul? (Mola apishie mbali), nadhani hayo ni madhaifu yake binafsi kama kiumbe na dhambi ni ZAKE.
Huyu imaam ni laana-tu-llah.

Niko na wewe! Ila tukubaliane hawa huleta taabu sana kwa waumini. Muslim should denounce these wapotoshaji
 
Kombo

Hayo ni madai ya Imam Muhsin! Ameuliza ni sehemu ya Quran inayozuia Ushoga? Kwa meneno yake Imam Muhsin

Homesexuality and Islam are inseparable entities.
..............is there .... anywhere that is being allowed ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…