Mimi ni mwalimu mzoefu ambaye nimefundisha na bado ninafundisha katika shule kubwa kama Marian Boys secondary School,Feza boys secondary na Baobab secondary school,kwa sasa pia ninafundisha tuition kwa kumfuata mwanafunzi nyumbani mahali popote Dar es Salaam kwa maelewano ya gharama nafuu,