TV4Sale Home Theater System installation and Set ups

mzungu wapink

Member
Oct 9, 2018
80
112
IMG_5904.jpg

IMG_5903.jpg

IMG_5900.jpg

IMG_5899.jpg

Je, wajua kua Brand nyingi maarufu zinazotengeneza AV Receivers huweka sound decoder kwaajili ya ku control sorround sounds...au 3D sound formats

Na hizo decoding softwares kuna makampuni zinatengeneza nakuziuza Kwa hao AVR manufacturers kama akina klipsch,Denon,Sony nk.

Dolby Laboratories (Dolby Digital)

Digital Theater System (DTS)

THX (Tomlinson Holman's eXperiment)

Hizi ni kampuni za sound na zinauza software zake Kwa matoleo tofauti na kila waki upgrade na thamani inaongezeka as well
Pia kila decoder ina setting tofauti.

Yani Dolby Atmos Haifanani na Dolby Pro logic japokua zote ni products za kampuni moja. Mf. Samsung Galax S10 sio kama Samsung Galax Note10 kimfumo.

Dolby Atmos haifanani na DTS HD. Nawaongelea sana dts na dobly digital sababu ndio mahasimu wakubwa duniani,alianzishwa Dolby Laboratories na Ray Dolby mnamo May 18, 1965 mjini London, England,UK.

Nakufuatiwa na THX 1983 na kisha mpinzani wake Dts 1990..ila sio THX waliomuathiri Dolby kibiashara bali DTS..ndio walikuaja kuwa challenge Dolby vibaya mno.

Kutokana na ubora na thamani ya hawa jamaa hivyo kuna device zimewekwa thx,dolby dts hivyo kuzifanya AVR izo kuuzwa bei juu sana kuliko kawaida (kuna home theater mpka za dollar 10,000).

Dolby Atmos 5.1 chanels
7.1/2chanels 9.0/.1.3”2 chanels
Wanaopenda nakufuatilia wanaelewa hizi mambo vyema. Unapenda muziki mzuri na hujui wapi utanunua basi sisi tunajua,
Unajua wapi pakununua lakini hujui kutofautisha Original na kanjanja basi sisi tunajua. Mara nyingi muuzaji kua muwazi na kukwambia hii sound haikidhi vigezo vyako unavyovitaka ni ngumu kidogo lakini sisi tutakufanyia consultation Kwa gharama ndogo ili mradi usipate hasara,sababu ukishauziwa famba ukifika home likaku disappoint ukiwarudishia swali la kwanza litakua ni "kwani haiwaki” “Haitoi sauti?”
Utaambiwa soma receipt yako vizuri, kwa chini utaona imeandikwa (Once goods sold is not returnable ) apo utakua tayari ushajipiga hatusemi umepigwa sababu hujatapeliwa ila umechagua vibaya bila kua na ujuzi.

Kama ukitaka kununua gari unaenda na fundi kilikagua na unamlipa,kwanini sio home entertainment! Ambayo ndio inaburudisha watu wote wafikao kukutembelea, na Si unatumia pesa pia kuinunua?

Hivi vitu tunavileta hapa tz wenzetu wanavifanya mda mrefu sana uko West. Twendelee na technology sasa,

Angalia image apo chini ya KLIPSCH HOME THEATER 9.2chanel bei yake unanunua vitz Japan, why?

Sababu
1.speaker zake ni mult ways
2.AVR(Audio and Video Receiver) yake ni mult chanels, yani unaweza kuiset ikawa 2.0 Chanel,5.1ch,7.1ch,9.0/9.1/9.2ch..(tutakufundisha nini maana ya hizi chanels kama hujui ndugu mteja mtarajiwa).

Halafu ina premium sound format zote yani. Dolby Atmos,Dts X, Dts Hd,Dolby Pro-Logic III THX Matrix nk. Hii nikama mtu moja anamiliki Samsung Galaxy S10 pro,Note11 pro,OPPO F11pro,Apple iphone 11pro max na XIAOMI REDMI Note 8 pro..zoote hizi unazo wewe ndio iyo KLIPSCH hapo chini. Na sio klipsch tu hata Sony, Denon, ONKYO nakadhalika wanazo hizo AVRs.View attachment 1492806

Kuna 3D video formats
Na 3D Audio formats
Hii 3D video kwa tz watumiaji ni wachache sana so kwa leo siisemi hii,masema hii ya audio ambayo takriban watu wote wanaojielewa ukipita majumbani mwao utazikuta hizi ila ukiskiliza huskii kile kilichokusudiwa, na maranyingi utakuta kayarundika ma speaker yote 6 mbele pale,unajiuliza sasa huyu kwanini alinunua 5.1 chanels na hataki kuskia hayo mabalaa ya 5.1? Si angenunua 2.1chanels au 2.0?
Yani amenunua trekta kwaajili yakuendea ofisini? Hahahaa....5.1 ndio inafanya mvua ikinyesha kwenye iyo movie basi we unaiskia nje kwako,
na kama imewasha fan au Ac basi kadri muda unavyozidi kwenda nawe utaanza ku vibrate kana kwamba kuna mvua kweli,
Hiyo ndio 3D audio 5.1/7.1,2/9.1,2...
Unaweza kuiset 5.1 ikawa 2.0chanels ila itakua inakupa left front na right front tu basi rear hutopata mambo yake,unless iyo system iwe imetengenezwa 2.1 au 2.0 toka kiwandani... ndio bombs zitaanguka mgongoni kwako hatakama huko nyuma hakuna speaker lol.
———————————————————
Kwaiyo sio unatajiwa bei unaanza kejeli zako mara 3ml. Nanunua gari? Aaaah wajuaji watakuona hujui unachokitafuta nayo ni fedheha kwa msomi mwenye pesa kama wewe alafu wajinga wakuone kituko,wakuite pasua.
Bei za consultations,installations na setups ni sawa na bure we tuite sisi tukusaidia utu Shukuru badae...lol.

So ukinunua Sony Home Theater yenye format ya Dolby Atmos bei yake haifanani na sony HT Dolby Pro-Logic..

Na sound zipo tofauti pia installation ni tofauti..
Maelezo ni mengi kuliko muda
Kifupi ni kua watu wengi wamekosa bahati yakufuatilia hivi vitu mpaka wanashangaa kivipi soud bar yenye speaker tatu inaweza kufanya bomb lianguke nyuma yako?
Yani unapataje 3D sound toka kwenye 2.1 chanel sound bar?

Kujua hayo piga sim 0788282409
Kwa huduma ya installation na sound setting pia
Ushauri home theater gani inafaa kwa room au lounge ya ukubwa gani wapi pakunua original HTs AVRs and so
Tupigie sisi
Na ukinunua tv kwetu alafu una home theater umeirundika tu home haikupi ulichokitarajia, tutakusetia bure mradi uwe mteja wetu wa tv...

Karibuni pia mnaojua zaidi kuhusu home sounds.
Sijamaliza maelezo ila nadhani nimeeleweka kiasi.
 
Unatumia jina gani insta?
 
Back
Top Bottom