Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
- Thread starter
- #21
Last edited by a moderator:
Bujibuji kuja huko uone, Malaika mimi amekutumia picha ya gari la kwenda kwenu!
Karibuni
miss neddy unakumbuka uliniahidi nini baada ya kutoka kule mahali? Unadeni na mimi ujue, njoo basi nyumbani unambie. Hata wewe mwekundu karibia home.
Fire extinguisher imo humo?Karibuni
Hapo kutawafaa sana kwa mapumziko, si ndiyo rafiki angu miss neddy? Au shemeji Excel atakataa?
hahahaha nakumbuka mamy tatizo hako kanyumba sijakaelewa kabisaaaa malaika tukilala humo mwizi akiiba fungua ya gari ndo tunaibwa wote
Kila kitu kipo sawa Ngekewa ondoa shaka.
Mtaibiwaje funguo wote wawili? Mwanaume hatakiwi kulala kama amekufa.