Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

Kahtan Ahmed!......
Pengine yule shemeji aliyempa miba dada yake akamfanya kitu mbaya...! Pengine wananchi wenye hasira wanaochukizwa na vitendo vyake vya kupiga watu shaba kwa ngao ya fedha zake, pengine wafanya biashara wenzie aliowanyang'anya wataja zao...pengine muhuni tu mmoja kaamua kufanya hivyo kwa sababu anazozijua yeye...!?
 

Ndio haoo wanasepa sasa sijui nyinyi wakwepa kodi wa bongo nani atawasaidieni tena.
 

Kkoo wajiandae kulipa kodi sasa jamaa zao ndo haoo eti wanafunga kampuni!
 
kosa lipo kwa viongozi wetu ambao wanafanya ubia nao...kukwepa kulipa kodi ni kuhujumu uchumi wa nchi...afilisiwe kbs.
 

Crime doesnt pay
 
Nimependa hapa, " labda
ndio yale maneno ya magufuli kuwa anaeweza
kumtoa ni rais tu"
 
Wafanyabiashara wakubwa ndio waliokua wanawaumiza wafanyabiashara wadogo na nafikiri kama kweli anatumbua majipu yote ya upitishaji mzigo kihalali wafanyabiashara wadogo wataneemeka
 
kweli sisi waafrika ndio maana tunaambiwa bado nyani hivi mihindi miarabu michina inanyang'anyana Mali zetu mpaka inagombana sisi tumetumbua mimacho yetu tu kha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…